flash heading

New photo

Sunday 27 November 2016

PSDA VISION MISSION AND OBJECTIVES

                                      VISION/ MAONO


KUWA UMOJA WA MFANO KATIKA KUTAMBUA FURSA NA KUZITUMIA FURSA TULIZONAZO KATIKA UJENZI WA HEKALU NA MUNGU NA JAMII BORA.

                                     MISSION/MPANGO
KUTUMIA WATOTO, VIJANA, NA WATU WAZIMA KATIKA UMOJA ULIO MAHUSUSI  KATIKA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA KIROHO NA KIJAMII

                                    OBJECTIVES/ MALENGO
  • Kufahamiana kama wana wa kristo katika kujenga mwili wa kristo.
  •  Kujengana kimwili,kiroho kiuchumi na kijamii.
  •  Kutambua, kuibua, kupandisha na kuvitangaza vipaji mbalimbali miongoni mwetu na  kuviendeleza
  •  Kutambua  changamoto zetu zetu  na kuzitafutia ufumbuzi kwa pamoja
  •  Kutambua fursa tulizonazo na kuzitumia
  •  Kujenga uhusiano na watoto wa wachungaji wa kianglikana kutoka madayosisi mbalimbali.
  •  Kutumia  rasilimali watu katika huduma ya mungu.
  •  Kutoa huduma za jamii yote hususani vijana wasiojiweza na waliokata tamaa

WACHUNGAJI NA WAGENI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA IBADA YA MAZISHI YETU MAMA ASKOFU LEAH SEHABA KANISA LA UTATU MTAKATIFU MOROGORO


MHASIBU WA PSDA ELIZABETH MAGENI AKIWASILISHA RAMBIRAMBI KATIKA MSIBA WA MAMA YETU LEAH SEHABA


VIONGOZI, RAISI MHASIBU NA AFISA HABARI WAKIWA NA ZAWADI KWA AJILI YA WENZETU WATATU WALIOKUWA WANAOA NA KUOLEWA

Add caption

Wednesday 19 October 2016

BARAKA MGIMBA(afisa mawasiliano wa PSDA) AKIPANDA MTI KATIKA ENEO LA KANISA ANGLIKANA RELI MOROGORO.


CHARLES MBENA (mwanachama PSDA) AKIPANDA MTI KATIKA ENEO LA KANISA ANGLIKANA RELI MOROGORO.


ERICK MKUNDA(mwanachama PSDA) AKIPANDA MTI KATIKA ENEO LA KANISA ANGLIKANA PARISH YA RELI MOROGORO


VIONGOZI WA PSDA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA SIKU YA KUZINDUA T-SHIRT ZA PSDA


AIDAN MAHUNGO (rais wa PSDA) AKIPANDA MTI KATIKA ENEO LA KANISA ANGLIKANA RELI MOROGORO


MESHACK MWITEWE(mwanachama) AKIPANDA MTI KATIKA ENEO LA KANISA ANGLIKANA RELI MOROGORO


VIONGOZI NA BAADHI YA WANACHAMA WA PSDA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA SHUGHULI YA UPANDAJI MITI KATIKA KANISA ANGLIKANA RELI MOROGORO.